Mpango wa CPA ni nini?

Mpango wa CPA ni kwa Washirika wanaolenga wateja katika EU. Unapata USD 100 unapomrejelea mteja mpya mwenye akaunti ya EU anapoweka jumla ya USD 100 (au sawa na kiasi hicho) kwenye akaunti yake ya Deriv, ama kwa kuweka mara moja au kidogo kidogo.

Tafadhali zingatia vizuizi vifuatavyo:

  • Unahusiana tu na washirika wanaotangaza kwa wateja walio na akaunti ya DIEL.
  • Kwa sababu ya vizuizi vya kisheria, huwezi kuwa na wateja wanaokaa Ureno au Uhispania.