

Kwa nini utuchague
Kwa zaidi ya miaka 25, Deriv imekuwa mshirika wa kuaminika kwa wafanyabiashara duniani kote.
Tunajivunia mtindo wetu wa kumzingatia mteja, tukihakikisha kwamba masilahi yao daima ndio kipaumbele chetu. Rekodi yetu nzuri iliyothibitishwa katika biashara inayodhibitiwa, pamoja na ulinzi madhubuti wa pesa za wateja, inatufanya kuwa chaguo bora kwa wafanyabiashara.
Tuzo zetu
Experience - Global
2025
Broker - LATAM
2025
Broker - MEA
2025
Broker - Global
Awards 2025
Awards 2025
Platform - MENA
Awards 2025
Trading Platform
Dubai 2025
Officer of the Year
Dubai 2025
2025
Conditions - Global
2025
Broker - Middle East
2025
of the Year
Dubai 2024
Service - Global
Awards 2024
Broker - Africa
2024
Region Broker
2024
Year - Global
2024
Experience - Global
2025
Broker LATAM
2025
Broker - MEA
2025
Broker - Global
Awards 2025
Awards 2025
Platform - MENA
Awards 2025
Trading Platform
Dubai 2025
Officer of the Year
Dubai 2025
2025
Conditions - Global
2025
- Middle East
2025
of the Year
Dubai 2024
Service - Global
Awards 2024
Broker - Africa
2024
Region Broker
2024
Year - Global
2024
Experience - Global
2025
Broker LATAM
2025
Broker - MEA
2025
Broker - Global
Awards 2025
Awards 2025
Platform - MENA
Awards 2025
Trading Platform
Dubai 2025
Officer of the Year
Dubai 2025
2025
Conditions - Global
2025
- Middle East
2025
of the Year
Dubai 2024
Service - Global
Awards 2024
Broker - Africa
2024
Region Broker
2024
Year - Global
2024
Rekodi iliyothibitishwa

Deriv Group ina historia ambayo inarejelea mwaka 1999 wakati tuliweka msingi wa huduma ya kwanza ya biashara ya fixed-odds. Tangu wakati huo, tumekua shupavu, na tukiendelea kuaminiwa na wafanyabiashara kote ulimwenguni.
Ulinzi wa pesa za mteja

Deriv haitumii fedha zako kwa maslahi yake ya kibiashara, na unaweza kutoa fedha zako wakati wowote. Fedha zako zote zimewekwa kando na zinahifadhiwa katika taasisi za kifedha. Kwa njia hii, katika tukio lisilowezekana la Deriv kufilisika, fedha zako zote zitarejeshwa kwako kwa sababu hazijachanganywa kamwe na zetu.
Uelewa wa Hatari<br data-w-id="e58f092e-fd6c-8562-84de-9eb6c34df79d">na Usimamizi

Biashara ya mtandaoni ni ya kusisimua lakini inahusisha hatari na inaweza kusababisha uraibu. Katika Deriv, tunaangalia maslahi bora ya wateja wetu na tunawahimiza kufanya biashara salama na kwa ustaarabu. Kama wewe ni mpya katika hili, unaweza pia kufanya mazoezi ya biashara kwa kutumia fedha dhahania zisizo na ukomo kabla hujarisiki pesa zako.
Msaada unapouhitaji

Timu ya usaidizi wa Deriv inapatikana kupitia mazungumzo mubashara 24/7 - hata wikiendi. Unaweza pia kupata majibu katika kituo chetu cha msaada na kupata msaada kutoka kwa wafanyabiashara wenzako katika Jamii.
Uzoefu wa kwanza wa biashara kwa mteja

Deriv inafanya iwe rahisi kwa mtu yeyote kuanza biashara, kuelewa hatari, na kufanya maamuzi bora ya biashara. Zana na majukwaa yetu huwa na maelekezo mepesi na ni rahisi sana kuvinjari. Pia tunatoa habari za soko mara kwa mara, uchambuzi, semina, ebooks, mafunzo kwa njia ya video na makala za kituo cha msaada ili kukusaidia kupata habari na kuwa mfanyabiashara bora.
Usalama wako, kipaumbele chetu

Katika Deriv, tunatekeleza hatua bora za usalama kama vile usimbaji fiche wa SSL kulinda akaunti yako na taarifa binafsi.






Fanya biashara bila hatari na akaunti ya biashara ya demo
Fedha dhahania zisizo na ukomo
Fanya mazoezi ya biashara na Deriv kwa muda mrefu unavyopenda. Hakuna hatari, hakuna ada iliyofichwa.
Masoko yote na majukwaa
Furahia ufikiaji kamili wa masoko na majukwaa yetu yote.
Hakuna credit kadi inayohitajika
Jisajili kwa barua pepe yako tu. Hakuna credit kadi au kiasi cha chini kinachohitajika.









