

Deriv cTrader
Nakili biashara za wafanyabiashara wenye mafanikio wa CFD kwa kutumia biashara ya nakala. Zaidi ya hayo, upatikanaji wa viashiria vya kawaida 60+, biashara ya chati, na zaidi ya vyombo vya kifedha na vya sintetiki 150 kwenye Deriv cTrader.

Kwa nini ufanye biashara na Deriv cTrader
Maarifa ya biashara yanayowezeshwa na AI
Boresha mikakati, chambua masoko, na zaidi kwa kutumia ChatGPT iliyounganishwa.

Mali nyingi kwenye jukwaa moja
Fanya biashara ya forex, hisa, viashiria vya hisa, sarafu za kidijitali, bidhaa, na Viashiria Vilivyo-Derived mahali pamoja.

Biashara 24/7
Fanya biashara ya sintetiki indeksi wakati wowote, hata wikiendi na likizo.

Nakili biashara vile utakavyo

Dhibiti hatari yako kwa kutawanya fedha zako katika mikakati mbalimbali ya biashara.
Kiolesura cha kueleweka

Tumia faida ya kiolesura rahisi kutumia kwa biashara na chati ambayo wafanyabiashara wapya na wenye uzoefu wanaweza kufurahia.
Tambua mipaka yako ya biashara

Menyu muhimu ambazo zinaweza kusaidia kujua jinsi margin ya kila mali inavyoathiri biashara zako kabla ya kuziweka.



Nakili biashara kwenye Deriv cTrader
Nakili biashara kwenye Deriv cTrader kwa kujisajili kwenye mikakati ya wafanyabiashara wazoefu kwa ada. Pata mkakati unaopenda, na uutumie kwenye biashara zako kwa kugonga kitufe.
Mikakati mbalimbali ya biashara
Chagua kutoka kwenye orodha ya watoa huduma wa mkakati na upate mkakati wa biashara unaokufaa.

Unawajibika moja kwa moja
Chagua kusimamisha biashara au kujiondoa kutoka kwa mtoa huduma za mikakati wakati wowote unapotaka.

Zana za udhibiti wa hatari
Punguza hatari zinazoweza kutokea zinazohusiana na mikakati uliyochagua ya biashara.










