Biashara salama na
yenye uwajibikaji
Biashara mtandaoni inaweza kuwa ya kusisimua, lakini ni muhimu kukumbushwa kuwa kuna hatari zinazohusika. Tunahimiza watumiaji wetu wote kulinda akaunti zao na kufanya biashara kwa uwajibikaji ili kupata uzoefu bora zaidi katika biashara mtandaoni.
Linda akaunti yako
Tumia nenosiri madhubuti na tofauti. Lifanye kuwa gumu iwezekanavyo kwa mtu yeyote kukisia.
Tumia kivinjari salama cha wavuti kama vile Google Chrome. Daima sakinisha sasisho za hivi karibuni za programu kwa sababu zinajumuisha viraka vya usalama.
Hifadhi maelezo yako ya kuingia kwa usalama ili kuzuia matumizi yasiyoidhinishwa ya akaunti yako.
Tumia antivirus na firewalls kulinda zaidi vifaa vyako.

Fanya biashara kwa ustaarabu
Mifumo ya biashara ya haki
Katika Deriv, haki na uwazi huongoza mbinu zetu za biashara. Tumejizatiti kutoa mazingira ya biashara ya kimaadili, endelevu, na ya kuaminika.
Ahadi ya biashara ya haki
Tunahakikisha haki katika kila hatua kwa:
Kutii kanuni za kimataifa
Kufanya ukaguzi wa ndani wa mara kwa mara
Kutimiza itifaki za udhibiti wa hatari
Uwazi katika biashara
Tunawasaidia wateja kufanya maamuzi sahihi kwa:
Kutoa data za wakati halisi
Kutoa ripoti za kina
Kutoa taarifa za wazi kuhusu ada na hatari









