Ninawezaje kustahiki programu ya kuainisha Washirika?

Ili kustahiki kushiriki kwenye programu ya kuainisha Washirika, lazima utimize masharti yafuatayo:

  1. Kuwa mshirika aliyesajiliwa wa Deriv.
  2. Anza kupata kamisheni kutokana na kuwaleta wateja wapya.