Kuanza
No results
Nifanyeje ili kuwa mshirika wa Deriv?
Ili kuwa mshirika wa Deriv:
- Nenda kwenye kurasa ya Washirika.
- Bofya Jisajili upande wa juu kulia.
- Chagua nchi au eneo lako, kisha weka anwani yako ya barua pepe.
- Bofya Inayofuata ili kupata msimbo wa uthibitisho.
- Weka msimbo wa uthibitisho na unda nenosiri.
Kumbuka: Ikiwa tayari una akaunti ya biashara ya Deriv, jisajili tu kwa kutumia anwani hiyo hiyo ya barua pepe.
Makala katika sehemu hii









