Nivipi viwango na vizingiti vya P2P?

Deriv P2P hutumia mfumo wa ngazi ambao unaweka vizingiti vyako vya kununua na kuuza kila siku kulingana na shughuli zako na kiwango cha uthibitisho. Ngazi yako ikiwa juu, ndivyo unavyoweza kufanya biashara zaidi kila siku.

Ngazi Kizingiti cha ununuzi cha kila siku (USD) Kizingiti cha uuzaji cha kila siku (USD)
Shaba 200 200
Fedha 500 500
Dhahabu 5,000 2,000
almasi 10,000 10,000