Je, Ninaweza kupakua chati kwenye Deriv Trader?

Ndio, unaweza kupakua chati kwenye Deriv Trader (katika .csv na .png) kwa kubonyeza Pakua kwenye upao wa zana kushoto.