Uwekaji na utoaji pesa
No results
Je, kuna ada zozote za kuweka au kutoa fedha kwenye Deriv?
Hakuna ada za kuweka fedha ndani ya pochi yako ya Deriv. Kwa ajili ya kutoa fedha, njia ya malipo uliyoi-chagua inaweza kutoza ada za kutoa fedha. Hii itategemea njia yako ya kuchagua ya kutoa fedha.
Makala katika sehemu hii









